Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hatua hii tumbo huwa linanisokota vibaya sana [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1728113
Ni hatua moja ambayo unaweza kuhisi tumbo linapanda na kushuka, pumzi kama zinataka kukata, then unahisi mbona kama haitembei, tena kama upo dirishani unachungulia nje na kuangalia kama kuna majengo, mara unahisi mbona kama mlio wa engine umezima hivi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukisikia mlio kidogo unahisi mbona kama imeganda angani [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…