Vituko mitandaoni. Tupia chako

There goes my Kasie - the one and only one. Always jovial. High class but always humble...Pisi kali hatari...Jamani. Ningekuwa Kiduku Lilo Kasie Matata haki ya nani ningekuwa nshakupeleka kwa Mama Misungwi [emoji16][emoji16][emoji16]

Simbaaaaaaaaaaaaa.......

Nimejikuta wakati natabasamu macho yametengeneza taswira ya kopa 😍😍😍😍

Aahahahahahaaa nnavopenda safari mie, ukisema tuu unakuja kunichukua na gari halafu unaendesha hadi Misungwi kwa mama mkwe, naanzaje kuchomoka hapo sasa....πŸ˜…

Yaani ndo ushanitega tayari, looh

Kasinde mie kwisha habari yangu πŸ€©πŸ€©πŸ˜‰.
 
There goes my Kasie - the one and only one. Always jovial. High class but always humble...Pisi kali hatari...Jamani. Ningekuwa Kiduku Lilo Kasie Matata haki ya nani ningekuwa nshakupeleka kwa Mama Misungwi [emoji16][emoji16][emoji16]
Jombaa huyu ni mzee kama faizafox

Jimama ila kweli pisi kali kimtindo[emoji1756]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…