[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzaramo pyua kamwe hatazima labda umzimishe fizikale kwa ama kumziba mdomo au kumtwanga ngumi ya kishwa apoteze fahamu kwa muda. Tena ukute ni kimbaumbau uwiiii umekwisha [emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1714973
Nadhani bado kuna watanzania na wageni wanaendelea kumtembelea kimyakimya.Babu alipiga hela kwa ulainiii [emoji16][emoji16]
View attachment 1715153
DuuuWatunga sheria wetu [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1714903
Palestine, Lebanon, Syria, Cyprus, Alexandria Egypt.Muslim christian
0J A R I B I O - O N L I N E
Hujawahi vuta sigara(5 marks)
Hujawahi fanya mapenzi(5 marks)
Hujawahi saliti(5 marks)
Hujawahi kunywa pombe (5marks)
Hujawahi piga nyeto(5 marks)
Hujawahi angalia xxx (5 marks)
Umepata marks ngap??
KILA MTU ATUME MARKS ZAKE