Vituko mitandaoni. Tupia chako


wachache sana watakuelewa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hii huwa inakwenda sambamba na macho yanavyoona.
gari unaona lina taa ndefuuu,au mbili mbili

unacheza mziki unaona unapatia kishenzi,kumbe ni vipe hamna alie makini kujua maana wote mnaona mnapatia[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…