Vituko mitandaoni. Tupia chako

lazima watu watakuja tu. mkuu lile layland nalipata aise limechoka kinyama yani kuna magari pale kama garage
 
lazima watu watakuja tu. mkuu lile layland nalipata aise limechoka kinyama yani kuna magari pale kama garage
Lile Layland sometimes lilikuwa linatupeleka kule Machine Tools machame kupalilia au kuvuna mahindi ya shule....

Kuna siku likatupeleka hukoo Uru kuchukua kuni..
....

Maisha ya ile shule niliyapenda kuliko sehemu zote nilizowahi kusoma..
 
hahaha sasa hivi sidhani kama linatumika,mkuu kwa sasa madogo sidhani kama wanapenda yale maisha maana pamechoka mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…