Aloooo eeheheheheee alooooh daaah
Kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Ila hii mbinu nzuri, ujue mtu hawezi ficha kicheko haswa kikimbana ππππ
Atachekea tumboni mwisho atatoa sauti tena ya ghafla ikisindikizwa na mashuzi π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.
Ukiwa unamtafuta mtu aliyejificha kwenye nyumba na hujui amejificha wapi, dawa ni kuanza kusimulia vichekesho kwanguvu, huko aliko atapasuka mbavu atacheka tuu na utamuona au kujua kajificha wapi.