Vituko mitandaoni. Tupia chako


Nafanya japo sio kwa 100%

Nafanya photographer
Nachora
Nafanya Sanaa za za mabox
Fundi vifaa vya electronics
Software za simu na
Hardware

Hivi vyote nimefanya na baadhi ndo paka Sasa vinaniweka mjini

Ndoto zangu.

Nimiliki camera kubwa ya kuanzia m1 napenda sana kupiga picha

Kwanini camera kubwa kwasababu naamini camera itabaki kuwa na thamani siku zote kwenye kupiga picha na naamini naweza kuifanya ikawa inaniingizia kipato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…