Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mbona sasa sio vichekesho tena Bro ni mapicha ya kuogofya vipi Big umeamua kubadili lengo nini😳😳😳😳😳😳
Mshana Jr
 

View: https://youtube.com/shorts/5y_-ealVx0I?si=fmJ4FJFk_RmjRhQq
1. Wamejua kuchaguana
2. Kamera man ameindendea haki fani yake πŸ˜‹
3. Pata picha unachapiwa chombo kama hiyo, hapa nawaelewa wale wanaobaka wanaume wenzao tuu kwa kuchapiwa.
4. Dada ameiva, anang'ara kila idara, simple but beauty, mvuto A πŸ˜‰.
5. Credits kwa wachaga, si bure mrembo wa kutoka Kilimanjaro huyu. Sio wote walioanguka bafuni na kuwa na tenda ya NIDO...
6. Yote ya hapo juu ni bwabwaja tuu, potezea. Burudika na kiwi cha macho aka hekaheka mitandqoni πŸ˜‰.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…