Ila jambo zuri ingawa wanakosoa hicho kizungu cha Diamond wao wenyewe Kiswahili hawakijui.
Ushamba ni mzigo mzito.
Unashobokea lugha za watu wakati lugha yako inakutoa jasho.
Yaani namwambiaga Labella kila siku hiyo pombe yake nikiiona chupa yake tu nasikia mawenge...๐ ๐ ๐ sijawahi kuitest ila naiogopa.....mdogo wangu kasema hennessy halewi