Ibadilishe.
Nakusihi sana!
Kamwe usijitamkie mabaya wala kujipa majina yasiyo na mibaraka; na yenye kukata tamaa. Maana ujionavyo ndivyo ulivyo; na ndivyo utakavyokuwa.
Dunia hii ni katili; na hakuna atakayekuhurumia maana maisha yako ni jukumu lako wewe mwenyewe 100%.
Badilisha hilo jina. Wewe si kijana masikini. Jiite hata Kijana Anayejitafuta au Kijana Mpambanaji...
Badilisha mtazamo wako!
Mimi nakataa!
Wewe siyo kijana masikini!