Vituko mitandaoni. Tupia chako

Em ngoja kwanza, kwahiyo ulaya wafungwa huwa na simu zao vyumbani?
UK sijui lakini nchi za Scandinavia nasikia ni jambo la kawaida...

Au wakati mwingine simu zinakuwa smuggled in hata kama haziruhusiwi - hasa kama adhabu siyo kali sana. Ma Don wanakuwa nazo tu. Mtu anaendesha Cartel akiwa gerezani japo mawasiliano mengi huwa ni kwa njia ya coded language...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ