Mnaosafiri mwishoni mwa mwaka, ombeni ulinzi wa Mungu na mjitahidi kufuata sheria za barabarani kwa mnaoendesha. Happy Christmas and prosperous New Year 2025 ππΏ
Kuna watu wamejeruhiwa sana; kiasi kwamba mioyo yao imejaa miiba. Hawa hata akikukaribisha moyoni mwake huwezi kudumu hata ujitahidi vipi. Kuwa mwangalifu!