Tanzania ilifungwa na timu gani idadi kubwa ya magoli?Tanzania mbona haipo?
Na Algeria 🇩🇿 goli 7 kwa sifuri kama sijasahauTanzania ilifungwa na timu gani idadi kubwa ya magoli?
Huyu jamaa bwana dah???🤣🤣🤣
Ni kweli nimekumbuka hiyo.Na Algeria 🇩🇿 goli 7 kwa sifuri kama sijasahau