Vituko mitandaoni. Tupia chako

Attachments

  • 20240802_160931.jpg
    45.6 KB · Views: 14

Attachments

  • 20240802_173025.jpg
    34 KB · Views: 14
Ukizubaa tu ukajifanya we ndiyo good guy unaweza ukatumika sana na kujitoa wakati bad boys wanaendelea kumburuza.

Good guys are always losers labda tu unachokifanya ukichukulie kama sadaka na goodwill. Mbaya zaidi sasa wanawake huwa hawakumbuki mema yote uliyowatendea. So jitoe na kuhudumia at your own risk; lakini usitegemee cho chote in return!

๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐ŸฟView attachment 3060042
.
.
wajinga sana mashabiki wa Yanga. hao wote wanakula supu utakuta siyo hata wanachama
yaani ni wagumu wa kuchangia timu yao
huku tarime ndo kabisa, majezi yenyewe wananunua copy za bei rahisi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ