Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Uhusiano wa jeshi na raia unapaswa kuwa kama ule na ssmaki na maji.
Mbwa sijui kapiga cha Arusha huyu kikamwendea vibaya 😁
Nilimwona dogo anajaribu kuhangaika na hili lishangazi la Sauzi. Nilimwonea huruma sana maana alikuwa ameelemewa balaa. Halafu kabananishwa zile staili ambazo siyo rafiki kwake kwa mizigo kama hii 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️