Vituko mitandaoni. Tupia chako

Prison guard aliliwa kwa hiari kabisa. Tena na wafungwa wawili. Kumbe ni mke wa mtu. Na wana katoto kachanga!

Wanasema kuwa pengine alifanya makusudi ili aachane na mumewe maana alijua kuwa ndani ya gereza kuna kamera 24/7!
πŸ˜₯😨😧😧 Sad kwa kweli ukifikiria investment uliyoweka inakata sana hii ishu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…