Vituko mitandaoni. Tupia chako

Naam kwenye kumzalisha upo zaidi ya sahihi hata akisaliti + kukuacha huyo mtoto atawaunganisha tu na hii nina ushaidi kabisa asee. Ila all factors constant inabidi mwanaume uwe mchoyo sana ukitaka uishi kwa amani and that includes being single 😁
 
Chukua jiwe hili mjukuu likakusaidie katika hekaheka zako 😁😁😁

View attachment 3039071
Hahah kwa kweli hapa mtaani kwetu kuna mama ntilie ni mjamzito wa 2nd born naendaga kula kwake daily kuna siku aliniomba buku nikamnyima sababu ni mke wa mtu. Kwanzia hiyo siku hadi leo akiniona ananihudumia ila ananuna.

Mimi principle yangu ndo hiyo i cant spend to a woman i ain't fucking hapana kwa kweli 😀 tit for tat
 
Unaweza kutoa kama sadaka tu na ubinadamu basi; bila kutegemea cho chote in return. Cha muhimu tu asizoee kuomba omba sasa maana siyo jukumu lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…