Aibu aibu aibu 🙂🙂
Wizara ya uma ni nafasi yake ?
Kwani ubunge pekee haumtoshi!!?
Mbona anaweweseka kiasi hicho 🙄🙄
Kuwa na kiongozi wa aina hii ni Fedhaha kubwa.
Laiti watu wangejua uchafu wa balozi Ami Mpungwe wangempuuzialia mbali.
Amejipatia hisa Kilombero Sugar, NBC, TBL na Tanzania One kwa mgongo wa Ubalozi.
Yeye na Mkapa walichotufanyia hatujasahau.
Apotelee zake mbali huko