Kiuno kama kimesagwa na greda. Mbavu nazo kama nimeponyoka kutoka kwenye kubananishwa na chatu. Mwili wote hoi yaani dah! Shida yote hiyo ya nini kamanda? Suluhisho ni hivi vipotabo. Tena upate ambako kamejitunza hakajaburuzwa sana dah! Hata milioni kumi ukiambiwa utoe mahari unaahidi tu yaani. Halafu kumbe nilichelewa kuhamia. I regret it!
View attachment 3028603