Vituko mitandaoni. Tupia chako

Usikute Mjukuu wangu ephen_ ameshaanza kutaja Siri za Babu yake za Mwaka 47 😜

Kweli tumezeeka sasa πŸ€—
 
Usikute Mjukuu wangu ephen_ ameshaanza kutaja Siri za Babu yake za Mwaka 47 😜

Kweli tumezeeka sasa πŸ€—
Babu mimi sina siri yako hata moja na hata nikiipata nitafunga mdomo

Kuna siku Shimba ya Buyenze aliandika
'Huwezi kumpaka mtu matope halafu ukabaki msafi'

Kuna siku nilimcheka mwalimu wa kiume sababu aliloa nyuma ya makalio lile jasho likawa linaonekana kwenye suruali rafiki yangu akaniambia 'Jifunze kuficha siri za wenzako na zako utafichiwa'

Hizo sentensi mbili huwa zinakaa kwenye akili yangu sana.

Nimeanza maelezo bila kukusalimia 'Shikamoo babu'
 

Sasa umekua.

Marahaba mjukuu. Nakutakia siku njema iliyobarikiwa. Msalimie sana Lukasi. Mwambie apunguze kububujikwa na machozi πŸ˜πŸ–
 
Marahaba Mjukuu, umeongea maneno ya busara sana......πŸ€—

Kweli umekuwa Mjukuu wangu......sasa Wazee tupo tayari kupokea mahari yako ikiletwa πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…