Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mkuu unachokihubiri na unachokitenda ni vitu viwili tofauti πŸ™Œ

Mbona huyo Mama E hana zile nyama nyama kama ile mizigo Mkuu πŸ˜… 😜

Umefanya nimzoom mara mbili mbili kujiridhisha, Kwa mbali utasema Bibi yenu Mwaka 47 πŸ€—
Ile mizigo mkuu umri hauruhusu tena. Nimehamia rasmi huku kwa tuvimbaumbau. Cha muhimu tu kiwe slim thick (if you know what I mean). Hii mitulinga kama ya huku Singida kwenye alizeti labda mara moja moja tu mkuu ila kuweka kambi hapana kwa sasa! πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ–πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…