Sasa huyu wa katikati angewezaje kusafiri ili hali ni kikongwe, urais uendane na umri jamani khaaah.
Vikongwe na urais wapi na wapi.
Huyu angesafiri sana angefia kwenye ndege kwa presha, kisukari nk.
Namkubali sana mla msuba wa kushoto.
Muda siyo mrefu watakuwa wakimbizi kwenye nchi yetu.
Tunawasubiri kwa hamu Sirari, Taveta, Tarakea, Namanga na Holoholo.
Waje waseme tena maneno kama hayoππ
Masikini hasikilizwi, watu wanapeleka pesa kwenye gesi, madini, misitu na wanyama wa mwituni na wanyama wa kufuga ambavyo vyote tunavyo.
Kopa kopa tu Madelu