Hili halikwepeki.
Dunia nzima iko hivyo. Mfugaji atarithisha mifugo, mkulima halikadhalika, mganga arithisha uganga.
Kila mwana jamii huona fahali kurithisha kazi yake.
Ila wanasiasa husemwa vibaya
Hili halikwepeki.
Dunia nzima iko hivyo. Mfugaji atarithisha mifugo, mkulima halikadhalika, mganga arithisha uganga.
Kila mwana jamii huona fahali kurithisha kazi yake.
Ula wanasiasa husemwa vibaya