Aisee, unaimba vizuri na mashairi mazuri.🤣
Twende kwa Master J tukarecord hii single yako tutauza sana.
Maana umeandika vitu vingine sikuvijua kabla.🙏🙏
Hikika nimesha kuwa kijana wa hovyo, ilivyo anza tu hio video na mwisho wake ndio nimejua ni mimi miongoni mwa vijana wa hovyo!