Mkuu mbona umempost mke wangu bila ruhusa yangu?
Mnaojua lugha za wanawake.
Mwanamke akisema nitakupa kila kitu anamaanishi vitu vingapi kwenye mwili wake?π€‘πββοΈπββοΈ
View attachment 3012234
Kwenye hiyo hekaheka kishuzi huwa kinapotea...na wengine kinaweza kupotea jumla na kisirudi tena! πMwanamke mwenyewe anayemuanika kapigwa pasi, hata "kishuzi" hanaππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
πππJumatatu njema kwa kila mmoja wetu, mwangaza wa mafanikio utokeze kwetu kama mawio ya jua.View attachment 3013311
ππππππππΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Anaendelea kutumia koti la kuazima.
nimekukamata kumbe upo hukuKama kuna nyingine nyingi za huyu mwamba tumaπππππ
Hizi ndizo ahadi walizokuwa wanapewa wanyama na viongozi wao katika hadithi ya Shamba la Wanyama ya George Orwell. Kawaida ya mianasiasa!