Vituko mitandaoni. Tupia chako

From Facebook....

AINA ZA WANAWAKE AMBAO LAZIMA UTUMIE KONDOM

1) Kama dem ana tattoo tumia condom [emoji125][emoji125][emoji16][emoji16]

2.) kama dem ni mlevi anapenda sana bia .....tumia condom[emoji16][emoji16]

3. Kama dem akiwa na wewe ana zima sim .....tumia condom[emoji16][emoji16]

4. Kama dem yeye ndio wa kwanza kukuvua shirt. Mkiwa chumbani .... Tumia Condom![emoji16][emoji16]

5. Kama mwanamke anapenda. Kuunguza nywere tumia ... Condom![emoji16][emoji16]

6. Kama mwanamke hakuulizi kuhusu condom wakati wa sex ..... my brother condom![emoji16][emoji16]

7. Kama dem anavaa jinzi ya kubana .... Condom[emoji16][emoji16]

8. Dem ukitongoza leo na akakupa mzigo leo ....tumia . Condom![emoji16][emoji16]

9. Kama dem anaishi peke yake ..... condom please[emoji16][emoji16][emoji124]

10. Kama dem anafanya kazi in a hair salon, booth or bar..... condom[emoji16][emoji16][emoji124]

11. Kama dem ni student wa UDOM, MLIMAN na secondary ... Condom oooh[emoji16][emoji16]

12. Kama dem anapenda sana facebook ....tumia condom[emoji15][emoji16][emoji16][emoji125]

13. Kama dem kaweka pin kwenye pua na amevaa kikuku mguuni ... my brother tumia condom mbili [emoji124][emoji125][emoji125]

14. Kama dem anapenda kuongea na wanaume tumia condom[emoji16]

15. kama dem Jina lake ni Lucy, Maggie, ana ,Ruth, roze, pendo, selina, jack Naomi..….... tumia 8 condoms ba CEE [emoji3061]

16. Kama ukifanikiwa kujua ana kijiti....my brother condom ndio mkombozi wako[emoji16][emoji16]

17. Ukiona mwanamke ana dis kuhusu hii post brother ujue uyo ni wakutumia condom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…