Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hapa ndipo thamani ya maisha inapoonekana, Kuna watu wapo na uwezo mkubwa wa fedha ila afya zao sio nzuri lakini pia kuna watu hawana chochote na wala thamani yao haipo ila maisha na uhai wao unathaminika kwa kiasi kikubwa , japo kuna watu wajinga wanafanya vitu hatari kwa uhai hali uhai ni wa thamani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…