Akili za walio wengi wetu zinafanana.
Ni ngono tu.
Lakini wakitoka kugegeda wanalaumu viongozi kudumaza maendeleo.
Maendeleo ya nchi yako yanaanza na wewe.
Maendeleo wapi bwana wewe....kila mwaka we solving the same perennial problems alafu mwasingizia ngono. Kwanza ngono inachukua asilimia ndogo sana ya muda wa mwanadamu...kama mie dakika mbili chali🤣🤣🤣🤣🤣
Maendeleo wapi bwana wewe....kila mwaka we solving the same perennial problems alafu mwasingizia ngono. Kwanza ngono inachukua asilimia ndogo sana ya muda wa mwanadamu...kama mie dakika mbili chali