Chakula ni ibada kamili, kisichezewe, kisitupwe, kisiharibiwe. Chakula ni mojawapo ya mambo ambayo huileta familia pamoja na kujumuika wote, ni sehemu ambapo hufanyika sala na dua ya shukrani huku wakikumbukwa wale wote ambao hawakujaaliwa kupata mlo aidha kwa ugonjwa au kwa kukosa pesa nk...