Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kumshindanisha CHAMA na PACIME ni kumjengea presha PACOME bila sababu. Chama ni kama KAMBARAGE aliyeishi Ikulu miaka 23 halafu unamshindanisha na Rais aliyeko madarakani kwa miaka 2. Kushindanishwa na CHAMA inabidi uwe na muendelezo wa mambo mazuri walau misimu 3, sio miezi 6.
 
Kuna wakubwa kuliko mimi

Ira awajiamini

Wanatumia kira mbinu 🥱
Iri nianguke Chini


Nakupa pore mwafula usie kuwa na maisha unakaa kwenu

Piss yoyote razima iwe na maisha yake w unakaa kwenu arafu unapiga kelele


Arafu iyo rosheni unayopaka ya bei rahisi achana nayo mana so unakuwa mweupe bari unakuwa kama ngozi ya kenge


Ipo ivi ukitaka bifu na mm hakikisha we mzuli kama uereweki uxinichoxhe bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…