Bado tunapambana anategemea kuondolewa ziwa lingine vipimo vikikamilika.Sana!
Mpaka miaka 77 hii bila shaka nshaona na kujifunza mengi. Kwa kujifunza zaidi fungua PM au bonyeza 6 kwenye simu yako ππππΏββοΈππΏββοΈ
β‘οΈβ‘οΈβ‘οΈ On a serious note vipi yule mgonjwa wako? Anaendeleaje? Natumaini anaelekea kwenye uponyaji sasa. Pole kwa kuuguza aisee ππΏππΏππΏ
Asante.Mimi App zote za JF zinazingua hivyo wala sishangai!
Pole..
Poleni sana! Ni kupambana tu bila kukoma huku mkitegemea Mungu Amguse. Naamini Atapona ππΏππΏππΏBado tunapambana anategemea kuondolewa ziwa lingine vipimo vikikamilika.
πππPoleni sana! Ni kupambana tu bila kukoma huku mkitegemea Mungu Amguse. Naamini Atapona ππΏππΏππΏ
Huku ni kupatwa kwa watanzania badala ya kupatwa kwa jua