Tahadhari usimuamini mtu kupitiliza huyu jamaa alianza kumzoea alie muibia baada ya Kila siku kushinda kijiweni anapofanya biashara ya chuma chakavu alieibiwa. Alivyo soma mazingira tu mwenye biashara alipotoka tu kidogo jamaa akaanza kupakia maavyuma kwenye kiroba na kuondoka navyo bahati mzuri mwenyewe kasahau kitu anarudi wamekutana njiani nakumkamata tujihadhari na tuwe makini