Afadhali.πππ
Ndiyo najifunza funza kuvaa nguo ndefu Bro..!!π
πππAfadhali.
Utazihitaji ukweni πππ
Eti nilijuaje? Hivi umeshasahau kuwa ulishawahi kuniambia kuwa nina akili sana? Hii ilikuwa ni kipindi fulani hivi baada ya kusoma "uzi" wangu mmoja wenye kurasa 5+ tena nondo tupu wakati ule niko Scandinavia hukooo....πͺπͺπͺπͺπππ
Ulijuaje..!? Nilitaka andika hicho kitu kisha nikafuta..!!