Maji ya chupa za plastiki yana chembe chembe ndogo nyingi za plastiki zinazopenya mpaka kwenye seli za mwili. Bado hawajajua madhara yake lakini kama inawezekana achana na maji ya chupa na vimiminika vyote vinavyohifadhiwa kwenye vyombo vya plastiki. Kansa!