Ukizidisha mara 2 tu non stop ushajichanganyaKuna watu wanapiga hata mara 4 utafikiri una figo yake. Hata ukija kupokea unakuta hana la maana π¬π¬π¬
Shule za siku hizi bwana, jana tu nimetoka kununua rim kwa mwanafunzi wa darasa la awali!
Sijui nitesti zali ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈUkizidisha mara 2 tu non stop ushajichanganya
Nitakupigia baada ya masaa 6