Aisee kumbe ni mwaka wa thelathini sasa tokea 94! siku hazisimami!
From Juba Southern Sudan acha kamba πMwanza
Tanzania View attachment 2860505
Hafai. Mpaka watu wanasubiri asafiri ndiyo wajiachie....Daktari ana vitisho hatariView attachment 2860245
Mideko bana πππUnadhani wanawake tunatishika tunapambana navyo kikubwa ipite π€£π€£π€£π€£ unaambiwa mwanamke kamili anapambana haijalishi akuta size gani
View attachment 2860103
Mitoto minene hii ndiyo inapigiwa makelele na Profesa Janabi. Halafu hizo kondomu zimebana miguu damu kweli inafika huko miguuni? π³
Kimeumana tayari!
Eti CHADEMA inuka uangaze πππ