Ratiba ya kumhudumia Onana leo kwa Wakaazi wa Dar Es Salaam
Watu wa Tabata, Ilala, na Buguruni mtapeleka chai kwa Onana
Watu wa Tandika, Temeke, Mbagala na Kisemvule, Mtapeleka Chakula cha mchana kwa Onana
Watu Ubungo, Kimara na Mbezi, mtapeleka Chakula cha Usiku
Watu Yombo, Buza, Vingunguti na Chanika mtalinda anapolala Onana
Watu wa Kigamboni, Kimbiji, Gomvu mtafanya usafi anapoishi onana
Watu Masaki, Mikocheni na Upanga mtacheza Playstation na Onana nyumbani kwake
Watu wa Kariakoo kaeni Standby umeme ukikatika pelekeni Genereta kwa Onana