Vituko mikoani

Mshana umeanza kujifunza uwongo kumbe, kusema Mara katibia kila nyumba kuna mtuhumiwa wa mauaji ni uwongo wa kiwango cha uzamivu. Halafu hata hiyo habari kwamba death rate ni kubwa kwasababu ya mauaji pia si kweli.
Ujue anatutusi sana. Kwenye kijiji chetu wauaji wanahesabika ni kama 0.00001 ya wnkijiji wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…