Vituko majaribu na mitego ya mashemeji

Vituko majaribu na mitego ya mashemeji

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,979
Reaction score
828,710
Experience yako ni ipi?
Maana uswazi haiwaishiwi misemo
Shemeji kula...
Hainaga ushemeji..
Shemeji kinyama cha hamu..
Shemeji ni Dada akiwepo...
Cha dada ni changu pia...
Shemeji wa kiume je!?🤨
 
Shemeji yangu alikua anatoa ndogo mpaka ndogo ikawa kubwa kubababake
4cfa0659-a7e4-4f8c-9ec7-65f2b4023c18.jpeg
 
Back
Top Bottom