Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,617
Hakuna ugomvi wowote mpenzi wako anakutumia ujumbe kama huo. Upepo wa december mtu anahitaji likizo

nmecheka sana hiki ni kituko cha aina yake kwenye mahusiano.Share kituko ambacho umewahi kukutana nacho kwenye mahusiano badala ya kuhuzunika ukacheka.



