Vituko kwa Pastor mfufuaji #Lukau

Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,961
3,592
Media reaction za watu wa south juu ya bwana #Lukau pastor mfufuzi
D0UQY25X4AUOkqT.jpeg
D0PliNkXgAAbKpp.jpeg
 
Na hapo si ajabu kukuta wale wafuasi wake bado hawaamini kama ulikuwa usanii.

Yaani wanaamini huyo jamaa kafufuliwa kweli na vilivyokuwemo ndani ya hilo jeneza navyo ni muujiza pia.
 
Binadamu wamepitiliza sasa....!
Na hapo si ajabu kukuta wale wafuasi wake bado hawaamini kama ulikuwa usanii. Yaani wanaamini huyo jamaa kafufuliwa kweli na vilivyokuwemo ndani ya hilo jeneza navyo ni muujiza pia.
 
Jamaa hajui hata kuact, yaani msela alikuwa ndani ya sanduku na simu yake, naweza kusema script yao ya kitoto

renegade

Walimaanisha kumweka kwenye jeneza na simu yake ili wawe na mawasiliano ya kila tukio lililokuwa linaendelea nje.
 
Na hapo si ajabu kukuta wale wafuasi wake bado hawaamini kama ulikuwa usanii.

Yaani wanaamini huyo jamaa kafufuliwa kweli na vilivyokuwemo ndani ya hilo jeneza navyo ni muujiza pia.
Huko South Afrika,washangae kwanza wafuasi wa Lusekelo mzee wa bapa ndio uvuke mipaka. Wanatofautiana ukubwa wa matukio tu.
 
Back
Top Bottom