Vituko duniani:

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956

Kutoka kule nchini Nigeria inaarifiwa kuwa baba mmoja Onyekachi Ekwelum amemuuza mtoto wake wa miezi 6 ili kutimiza ndoto yake ya kupata Visa ya kuingia Ugiriki.

Picha chini ni ya mtoto anayedaiwa kuuzwa...
Mnadhani hii ni tatizo ya umasikini, au?... Changia mada plzz!...

#by admin Yussuf T. Bilal ''Zidane Tanzi''




 
Aliyemuuza mtoto hana akili,lakini aliyemnunua mtoto hana akili zaidi!
 
Nadhani matukio kama hayo yalishawahi kulipotiwa hata hapa kwetu Tanzania japo sio kwa sababu kama hizo za kupata Visa/viza.

Ni hatari sana kufanya hivyo, sina hakika kama kwa kufanya hivyo unaweza kufanikiwa mambo yako kisawasawa, maana kitendo ulichofanya ni laana na kufuru kwa Mwenyezi Mungu aliyekujalia huyo mtoto.

Any way haya yote ni kwa msaada wa nguvu ya shetani na si vinginevyo, hivyo basi tujitahidi kuwa karibu na Mungu ili haya mambo ya kishetani yasipate nafasi ya kututeka kirahisi.
 
Na hawa ni binadamu wenzetu
Binadamu naye ni bidhaa....lol
 
Kwa Mnaijeria wala sishangai,hawa jamaa wana uwezo wa kufanya chochote linapokuja suala la pesa....

Tuombeane heri kwa wote:
Swadakta St.PM, Masikitiko makubwa sii kwa vituko vya NGR. Bali kwa hofu kubwa ambayo wengi waTanzania huwachukulia waNigeria kama ndiyo mabingwa wao na Tamthilia ya kufuata nyendo na tabia zao."tahadhari WANDUGU waTZ bado tunaweza kulinda vyetu " hao mNGR. wamepoteza maadili yao na uhuni wao umechafua hewa kila pembe za duniya. take care !!
God Bless waungwana watz.
 
Si bure atakuwa anamatatizo kidogo kweli mtu ushindwe kutofautisha thamani ya m2 na pesa mmh mm hainiingizi kichwani mwangu huo ni ujinga maji na huyo aliyenunua ni kichaa hata kama hakubahatika mtoto si kihivyo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…