Vituko Compilation : Tupia na vyako

Tatizo huu mchezo unazeesha ukizoeshaa aiseee otherwise piga ndogo ndogo then mbili za uhakika kila wiki

Hahahahahahaa mchezo huu pia hauna ratiba wala formula.... ukikaa mkao tuu basi viungia vyenyewe vitaitana na kusalimiana wakati nyie hamna hata habari hehehehe
 
Hiv unadhani ile fluid ni maji bomba..??

Hahahahahahaaa sio maji ya bomba wala ya mvua.... ila kama uko vizuri unajaza kindoo cha lita 10 looh.

Halafu umeshawona wenyewe wala senene na rubisi? Hawazeeki na kamchezo kanapigwa kama kitendo cha kufumba na kufumbua macho.

Wanakula life... wanapeana rahaa.... wanatafuta hela.... wanajenga mbili yao kurejeshea vilivyopungua wakati wa mchezo na wanabaki wako fit anytime kwa kamchezo....😛😀😛
Ila ....... Ukiona maji marefu unayaacha tuu au nawa miguu toka ukiiga kuogelea unazama huku unajiona hehehehehe.
 
Huuu mchezo utakua ule pendwa wa kukojozana
 
Hahhha tatizo town havipatikani hizo mamboo labda matoke tu halaf yale mpang mzima Ukipika nzuri yakiiiva kwa Me ukiyapiga kama tunda sana,

Kazi yako ni kusema Mama Jangweno...
 
Hahhha tatizo town havipatikani hizo mamboo labda matoke tu halaf yale mpang mzima Ukipika nzuri yakiiiva kwa Me ukiyapiga kama tunda sana,

Kazi yako ni kusema Mama Jangweno...

Hahahahahahahaaaa ati mama Jangweno looh
 
Kumbe wewe ni wa BK ndio maana aiseee!!
 
Hahhha tatizo town havipatikani hizo mamboo labda matoke tu halaf yale mpang mzima Ukipika nzuri yakiiiva kwa Me ukiyapiga kama tunda sana,

Kazi yako ni kusema Mama Jangweno...

Huuu mchezo utakua ule pendwa wa kukojozana

Hahahahahahaa mchezo huu pia hauna ratiba wala formula.... ukikaa mkao tuu basi viungia vyenyewe vitaitana na kusalimiana wakati nyie hamna hata habari hehehehe

Hiv unadhani ile fluid ni maji bomba..??

Tatizo huu mchezo unazeesha ukizoeshaa aiseee otherwise piga ndogo ndogo then mbili za uhakika kila wiki

No risk taking hapo..... mchezo wenyewe hauhitaji hasira.... pia unataka uvumilivu wa hali ya juu.

Hahahahahahaaa weeweee mashambulizi yakizidi naweka kunchutama

Baada ya zoezi wote tunakarabati mwili vinginevyo tunawezapata utapiamlo wa kiutu uzima looh

Waheshimiwa/ Wapendwa.......twafadhali sana msituharibie maana ya uzi wetu huu pendwa.......mnatunyima uhondo......
Ingekuwa vyema na busara zaidi kama mngeanzisha uzi wenu.....ili muwe huru kuchangia na kujuzana hizo habari kwa kina zaidi.......

Samahanini kama nitakuwa nimewakwaza...lakini kukumbushana ni jambo la msingi zaidi huena labda pengine mlijisahau.....

Asanteni sana...,,
 
Hahahahaa babuuuu mie na weye tenaa
Basi usiwe unatoa siri zetu kwa watu. Mikware ikija kukubaka utanipeleka Segerea mchana kweupe.

Sipendi kushea na mtu kitumbua chako. Nna wivu mpaka kwa vidole vyako wakati ukijiswafi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…