Vitu vya ndanivinauzwa

Well said brother. Mimi pia naomba nitoe ushauri kwa watu humu,msipende sana kutumia matatizo ya wengine kama fursa. Kuna watu bei wanayotamka kama wanataka kumkomoa muuzaji. Kumbuka mbali na kupata atakachokuuzia wewe pia unakuwa kama msaada kwa anayopitia mhusika ambapo itakuwa baraka kwako na vizazi vyako pia.
Yeyote anayenunua kitu cha mhitaji kwa bei ya kutupa maranyiki hupatwa na nuksi kubwa... Fuatilia vitu vya minada ya kukomboa madeni utaniambia
 
Back
Top Bottom