Vitu vya ndanivinauzwa

Duh! Kumbe mjini hapakaliki namna hii? Useme labda unatafuta mtaji. Mi naona kijijini kwa mwendo huu maisha yatakuwa magumu sana bora ukomae hapahapa
 
Hiyo sofa kula 150 K pesa iko mfko w sht
 
Tuzingatieni muktadha wa jukwaa wapenda... Ni jukwaa la matangazo na si mijadala na kejeli
Unaweza kumcheka kuwa anarudi kijijini lakini huwezi kujua kwanini anarudi... Usishangae baada ya mwaka mmoja akawa njema kuliko wewe
Tuheshimu maamuzi ya mtu na tuwe na tafakuri pia.. Kama kuna magumu anapitia mtie moyo msaidie huyajui ya kesho... Kumbuka hujafa hujaumbika
 
Well said brother. Mimi pia naomba nitoe ushauri kwa watu humu,msipende sana kutumia matatizo ya wengine kama fursa. Kuna watu bei wanayotamka kama wanataka kumkomoa muuzaji. Kumbuka mbali na kupata atakachokuuzia wewe pia unakuwa kama msaada kwa anayopitia mhusika ambapo itakuwa baraka kwako na vizazi vyako pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…