vyote vinauzwa pamoja isipokuwa Tv tu saa na pazia..
Bei tajwa hapo zote kuna maongezi
MAHALI; Gongolamboto Dar es salaam
SIMU ; 0683473391
kama unahitaji au kuuliza piga simu, maana siko online muda wote
sofa mbili zote......................................200,000
kiti cha plastic...........................................10,000
zulia.................................................................50,000
meza..............................................................90,000
mashine ya kufua..............................200,000
vyombo na jiko......................................120,000
kitanda,taa na box lake .................250,000
Fridge............................................................200,000
JUMLA VYOTE NI...........1,120,000
Ukihitaji vuote itakuwa bora zaidi na bei inakuwa nafuu zaidi kuliko kuchukua kimoja kimoja..ijapokuwa na kimoja kimoja inawezekana
CHANGAMOTO ZILIZOPO
* Kwenye mashine ya kufua sehemu ya kukausha ndo inazingua kukausha ila ukitaka kurekebisha inarekebisha..mimi sikuirekebisha kwa sababu hapakuwa na ulazima kiviiiile,nikapotezea....ila ni mashine heavy duty inabeba kilo 8 hadi 10 za nguo
* zulia ni la kufua tu
ni hayo tu
- hilo sofa moja la njano unaweza badirisha cover yake
- kitanda pia ni cha kufuta tu kama ukiona kuna sehemu yenye vumbi
View attachment 3480256
View attachment 3480257
View attachment 3480258
View attachment 3480259
Nichukulie washing machine hiyo nimechoka kufua nguo za mwanao kila siku nipunguzie kaziHicho kitanda...hata ukinipa bure no...
Mmmh..π₯Ίπ₯Ί.vyote vinauzwa pamoja isipokuwa Tv tu saa na pazia..
Bei tajwa hapo zote kuna maongezi
MAHALI; Gongolamboto Dar es salaam
SIMU ; 0683473391
kama unahitaji au kuuliza piga simu, maana siko online muda wote
sofa mbili zote......................................200,000
kiti cha plastic...........................................10,000
zulia.................................................................50,000
meza..............................................................90,000
mashine ya kufua..............................200,000
vyombo na jiko......................................120,000
kitanda,taa na box lake .................250,000
Fridge............................................................200,000
JUMLA VYOTE NI...........1,120,000
Ukihitaji vuote itakuwa bora zaidi na bei inakuwa nafuu zaidi kuliko kuchukua kimoja kimoja..ijapokuwa na kimoja kimoja inawezekana
CHANGAMOTO ZILIZOPO
* Kwenye mashine ya kufua sehemu ya kukausha ndo inazingua kukausha ila ukitaka kurekebisha inarekebisha..mimi sikuirekebisha kwa sababu hapakuwa na ulazima kiviiiile,nikapotezea....ila ni mashine heavy duty inabeba kilo 8 hadi 10 za nguo
* zulia ni la kufua tu
ni hayo tu
- hilo sofa moja la njano unaweza badirisha cover yake
- kitanda pia ni cha kufuta tu kama ukiona kuna sehemu yenye vumbi
View attachment 3480256
View attachment 3480257
View attachment 3480258
View attachment 3480259
Duh..!Hayo mavitu used ungegawa bure tu kwa wahitaji,ila kila la heri.
Hataki ajulikane kama ni dalali, kila akileta vitu vya kuuza anasema ni vyake "mimi nimetumia mwezi tu" πHayo mavitu used ungegawa bure tu kwa wahitaji,ila kila la heri.
Sasa mtu anauza sufuria used na vikombe, mpaka vijikoπDuh..!
Huku gombs hilo bed ni unyama sana.Hicho kitanda...hata ukinipa bure no...
ππππNichukulie washing machine hiyo nimechoka kufua nguo za mwanao kila siku nipunguzie kazi
πππππSamahan lakin vyombo vya laki na ishirini ni Ivo hapo au Kuna vingine? Au jiko ndo bei kubwa
Sio kila siku ananisema tuu awe anafanya na majukumu π€£π€£π€£ππππ
Kwa kweli, ila wee, nimecheka hapa.Sio kila siku ananisema tuu awe anafanya na majukumu π€£π€£π€£
Labda jiko lina beiSamahan lakin vyombo vya laki na ishirini ni Ivo hapo au Kuna vingine? Au jiko ndo bei kubwa
Kanifurahisha mdau kauliza hivi vyombo ndio 120k au kuna vingine....au jiko ndio bei kubwa kanifanya nikathaminishe kila chombo π€£π€£π€£π€£π€£. JF ukinuna umejitakiaKwa kweli, ila wee, nimecheka hapa.
πππππ