feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,519
- 17,175
Wakuu habari.
Nina vitu hivi vya kwangu mwenyewe naviuza kwa anayehitaji tuwasiliane inbox.
TV allyons nchi 32 = 190,000/= (bei fixed imetumika 5 month,boksi lake na kila kitu vipo fresh)
Radio Boss imetumika miezi 7 bei 90,000/=
King'amuzi cha Azam(Dish) kimetumika 5 months bei 90,000/=
Fridge brand Boss dogo limetumika 1.5 year kwa matumizi ya gheto bei 180,000/=(linapoza fresh na halijawahi kwenda kwa fundi.
Laptop Dell latitude RAM 8,Processor 2.6,Core i 5 imetumika 7 month kwa matumizi ya ofisini bei 300,000/=(fixed).
Ukija na laki 8 nakuachia vyote ila ukitaka hata kimoja kimoja nitakuuzia pia .,,ukipenda njoo inbox tuelewane.
NB:Sababu ya kuuza nimepata vitu vingine,nahitaji kuuza hivi kucompasate hela niliyotumia ,picha haziko poa kivile simu ninayotumia camera ilipata shida..
Naambatanisha na picha hapo chini.
LOCATION: MBAGALA RANG 3
Shukrani