Vitu vitatu vitakavyoiua Simba SC kwenye dabi ya kariako 1/03/2036

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,271
Reaction score
14,512
Naaam hayawi hayawi Sasa yamekua !! Asiyekia na mwana basi aeleke jiwe " hayo Si maneno yangu NALIA NGWENA aka Under cover Bali ni maneno ya Wahenga, na sipo hapa kutabili kama shekhe yahya Bali nazungumza kama mwanasayansi Wa Mpira ukipenda niite Isack Newton kwenye ulimwengu Wa Mpira.

Yameabaki masaa machache sana wafalme Wa karikoo Simba na Yanga kuchuana katika mchezo Wa kuwania point tatu Muhimu, Lakini NALIA NGWENA nauchambua Huu mchezo kwa maono ya Simba SC kuchapwa ama kudondosha point tatu Muhimu kwa sababu hizi maalumu zifuatazo

(1) Kuathirika kisaikolojia kwa Simba SC, bench la ufundi mpaka mashabiki, ndiyo mchezo Wa Dodoma jiji vs Simba kwa kugawana point Moja Moja na huku mpinzani (Yanga) kapata mataokeo ya goli tano hii imeitoa kwenye Mfumo Simba sc na imewakumbusha kipigo Cha goli tano walau hata wangrpata point tatu Muhimu mbele ta Dodoma jiji ingeleta confidence kwa Wana lunyasi mpaka kwa mashabiki.

(2) Presha ya Viongozi Wa Simba SC Kuelekea derby ya kariakoo, NALIA NGWENA aka undercover nilibahatika kukutana na Viongozi Wa Simba SC ukizungumza Nao unaona kabisa wanapresha na hawana Imani kama wanaweza Kuchukua point tatu Muhimu mbele ya mpinzani wao mkubwa (Yanga SC) , hata msemaji wao Ahmedy ally kwenye interview za hivi karibuni amepoa sana ukitumia jicho la tatu kumtazama unaona kabisa Hana Imani na kikosi chake na anaamini kabisa watadharirika tena.

(3) Strikers Wa Simba SC ni Butu , naam ukianza Selemani Mwalimu Hana utulivu kwenye box utoto mwingi na offside nyingi ukichanganya papara Zake ni ngumu kufua mbele ya mabeki kama Baka na Jobu , Mpanzu Uwezo umeshuka na Gueye na Aura Hawa hawana experience na derby kwa hiyo sijaona Wa kuosumbua beki za Yanga SC

(3) Mashabiki wachache ndani ya uwanja, Simba SC walishazoea uwanja WA mkapa mashabiki zao kujaaa Lakini Zanzibar mashabiki wachache kutokana na ufinyu Wa uwanja na nichukue Fursa hii kuwaomba TFF Kuwa derby kubwa Hapa Africa kuipeleka Zanzibar ni kuikosea Heshima kubwa mno tena mno hili siungi mkono, kwa hiyo Ile morari ndogo ya mashabiki Wa Simba SC nayo itapelekea kudondosha point.

(4) Tamduni za nje ya Uwanja, Yanga wamefanikiwa pakubwa sana KUCHEZA na utamaduni WA nje ya Uwanja, alikufa Far Rabat, akafa Js kablie na kuubatiza kwa jina la utani kama Guantanamo bay na hiyo inadhihirisha wazi Kuwa uwanja wameuzoea vyema na saikolojia ya wachezaji Ipo vyema Lakini kwa Simba SC ni tofauti kabisa na ndiyo Maana naona Simba SC akifa /akidondosha point tatu Muhimu.

(5) migogoro ya Viongozi ndani ya Simba SC, siku zote timu za karikoo hutumia mchezo Wa derby kuamua nani ajiuzuru na na nani anafaa Kuwa kiongozi, ikumbukwe ndani ya Simba SC kuna baadhi hawataki Huu uongozi uliopo, so zinaweza Kutumika mbinu za makusudi tu , timu ipoteze ili kiongozi ang'olewe hii ni Sababu kubwa mno inayonifanya niamini Simba SC Kuwa watapotoza derby ya karikoo mbele ya Yanga SC.

(6) Safi ya Ulinzi Butu , KUANZIA kwa shomari kapombe umri na pumnzi hawana Uwezo Wa kushindana na forward wa Yanga SC, Rushine siyo beki tough akigongwa gongwa kidogo tu anaomba sub, kibabage mfupi na sioni na didhani kama ataweza kupanda mbele ya Forward za Yanga SC.

My take : naona Yanga wakipata ushindi Wa point tatu Muhimu na Magoli mawili.
 
Hakuna ajuaye nani atashinda
 
Napenda Yanga ishinde. Lakini niko tayari kwa matokeo yoyote. Mpira ni dakika 90, na matokeo ni aina tatu.
Kila la kheri wananchi.
 
Hapo namba 3 shida ni uchawa. Hakukuwa na sababu yoyote ya maana ya derby kuipeleka Zanzibar zaidi ya uchawa au kujipendekeza kwa maza.
 
Mechi itakuwa ngumu sana. Yanga wasijiamini sana
 
Kwa hyo shomari kapombe ni mzee ila yanga wamemsajili mohammed hussein under twenty kutoka simba na anaanza panga pangua mmetisha mtani
 
Back
Top Bottom