Vitu visivyo na Mwanzo wala Mwisho

Vitu visivyo na Mwanzo wala Mwisho

hahahahaha
Sikupingi Aisee maana Kwa hiyo I'd Yako inaonesha wewe ni mkazi wa Mchambawima na kama tujuavyo nyie ndugu zetu na Elimu ni mbingu na ardhi Aisee hebu rudia kusoma ulichokiandika
Halafu jipige kifuani mara tatu
Halafu tamka maneno haya

Mimi ni mjinga!
Ha ha et mchambawima
 
Binadamu kuna vitu Mungu alituficha kwa makusudi yake... akili ya mwanadamu ina ukomo wa kutafuta majibu!
hakuna kitu ulichofichwa na Mungu, bali kuna wanadamu wapuuzi wachache walioamua kuyaficha maarifa, na kuyapotosha kwa manufaa yao na vizaz vyao ili wautawale ulimwengu na kufaidi resources za dunia hii, huku wakiwafanya watu wengine kuwa watumwa wa fikra na roho...inshort hakuna siri yoyote dunian wala mbingun iliyofichwa na Muumba,

ni hao wapuuz fulan ndyo hufanya tuone kila jambo ni siri.
 
Salaam nyingi sana kwenu wadau wa Jukwaa hili linalotumia ubongo mwingi sana huku nguvu za Mwili zikiwa kisoda.

Katika mambo ambayo nimewahi kuyafikiria na sikuwahi kupata majibu au kukaribiana na majibu ni kuhusu vitu vinavyofikirisha akili sana. Kwa upeo wangu vitu hivi nadhani havina mwanzo wala mwisho.

1. Ulimwengu, hapa namaanisha sayari zote, magimba yote, ombwe, nyota, jua na vyote ambavyo vipo katika pande zote za ulimwengu. Kwa upande wa Dunia utazunguka lakini utarudi ulipoanzia. Kwa upande wa nje ya Dunia ukiondoka hakuna mwisho ni kwa upande wowote utakaoelekea kwasababu ukisema kuna mwisho kinachothibitisha mwisho ni kitu gani?

2. Suala la Mungu. Mungu tunaambiwa hakuanza wala hana mwisho. Hii maana yake hakuna kilichosababisha uwepo wa Mungu, yeye alijikuta tu yupo.

Tafakuri za mambo haya yote huenda ni ngumu Kutokana na upeo mdogo wenye ukomo yaani ni sawa na kuku amtafakari anayemfuga kwamba alitokea wapi na mwisho wake ni upi, kamwe hatapata majibu.

Kuna stori Moja kwenye maandiko ya kihistoria ndani ya Kanisa Katoliki kuhusu Mtakatifu Agustino, kwamba alipita ufukweni mwa bahari akiwa amejaa mawazo mengi kumtafakari Mungu hasa mwanzo wake na mwisho wake, akakutana na mtoto mmoja anachota maji kwa kifuniko kidogo mithili ya kisoda kutoka baharini na kujaza kwenye kishimo alichochimba pembeni ya bahari, Mtakatifu Agustino akamuuliza, we mtoto unafanya nini? Mtoto akajibu, nataka kuhamisha maji ya baharini yote yaingie kwenye kishimo hiki kidogo, Mtakatifu Agustino akamwambia yule mtoto, we mjinga sana bahari ilivyo kubwa hivyo itahamiaje kwenye kishimo kidogo hicho! Naye mtoto akajibu, na wewe ulivyo na akili ndogo utaweza kumtafakari Mungu alivyo mkubwa na ukapata majibu?

Pamoja na yote naomba tushirikishane pengine mtu amewahi kusoma tafiti mbalimbali kuhusu ukomo au mwisho wa mambo niliyoyazungumzia.
Na alaaniwe mgunduzi wa "Mtungo" , I mean "Mzingo"
Hauna mwanzo wala mwisho....
 
Kuna mahali umesema Mungu hana mwanzo ila alijikuta tu yupo, hapo kujikita ndio mwanzo wake. Tafuta sasa aliyesababisha huo mwanzo.
siku utakapojua kuwa yeye ndiye aliyeumba mwanzo na aliyeumba mwisho utaacha kutafakari mambo yaliyo nje ya uwezo wako..
 
Chochote unachokiona kwa macho yako kina mwanzo na mwisho. Ila visivyoonekana sio rahisi kujua mwanzo au mwisho.
 
Salaam nyingi sana kwenu wadau wa Jukwaa hili linalotumia ubongo mwingi sana huku nguvu za Mwili zikiwa kisoda.

Katika mambo ambayo nimewahi kuyafikiria na sikuwahi kupata majibu au kukaribiana na majibu ni kuhusu vitu vinavyofikirisha akili sana. Kwa upeo wangu vitu hivi nadhani havina mwanzo wala mwisho.

1. Ulimwengu, hapa namaanisha sayari zote, magimba yote, ombwe, nyota, jua na vyote ambavyo vipo katika pande zote za ulimwengu. Kwa upande wa Dunia utazunguka lakini utarudi ulipoanzia. Kwa upande wa nje ya Dunia ukiondoka hakuna mwisho ni kwa upande wowote utakaoelekea kwasababu ukisema kuna mwisho kinachothibitisha mwisho ni kitu gani?

2. Suala la Mungu. Mungu tunaambiwa hakuanza wala hana mwisho. Hii maana yake hakuna kilichosababisha uwepo wa Mungu, yeye alijikuta tu yupo.

Tafakuri za mambo haya yote huenda ni ngumu Kutokana na upeo mdogo wenye ukomo yaani ni sawa na kuku amtafakari anayemfuga kwamba alitokea wapi na mwisho wake ni upi, kamwe hatapata majibu.

Kuna stori Moja kwenye maandiko ya kihistoria ndani ya Kanisa Katoliki kuhusu Mtakatifu Agustino, kwamba alipita ufukweni mwa bahari akiwa amejaa mawazo mengi kumtafakari Mungu hasa mwanzo wake na mwisho wake, akakutana na mtoto mmoja anachota maji kwa kifuniko kidogo mithili ya kisoda kutoka baharini na kujaza kwenye kishimo alichochimba pembeni ya bahari, Mtakatifu Agustino akamuuliza, we mtoto unafanya nini? Mtoto akajibu, nataka kuhamisha maji ya baharini yote yaingie kwenye kishimo hiki kidogo, Mtakatifu Agustino akamwambia yule mtoto, we mjinga sana bahari ilivyo kubwa hivyo itahamiaje kwenye kishimo kidogo hicho! Naye mtoto akajibu, na wewe ulivyo na akili ndogo utaweza kumtafakari Mungu alivyo mkubwa na ukapata majibu?

Pamoja na yote naomba tushirikishane pengine mtu amewahi kusoma tafiti mbalimbali kuhusu ukomo au mwisho wa mambo niliyoyazungumzia.
Unapima mwanzo wa kitu au mwisho wake kupitia mda.
Swali mda una mwanzo na je una mwisho?
Na nan aliyeweka mda?
Watu wanaosema Mungu hana mwanzo wala mwisho nadhani wanakuwa wanamaanisha ha- exist ndani ya mda.
Tukimpata aliyeweka mda ndio anaweza kujibu maswali yote kuhusu mwanzo na mwisho.
Otherwise kuna kitu kimoja ambacho najua hakina mwisho mabadiliko(changes).
 
Ulimwengu hauna mwisho kwa sababu unatanuka kwa speed ya mwanga (expand at the speed of light) tangu uanze kwenye bigbang.... so huwezi pima mwisho wake kwa sababu kitendo cha kutanuka ni endelevu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatunuka kuelekea wapi? Kwenye nafasi gani? Na hiyo nafasi inakotanukia inaitweje?
 
Hivi kama Mungu hana mwanzo na mwisho je inawezekana kuna dunia nyingine kawai kuumba huko nyuma kabla ya zetu hizi na hii yetu ni kama ya elfu50 kuumbwa.
Hata mimi huwaza hivyo.

Kwa uzoefu wa Mungu, uumbaji wa ulimwengu na dunia hii, huenda ukawa hata wa mara elfu kadhaa, huu hauwezi kuwa ni wa kwanza kwake.

Na viama alishavifanya sana tu, sisi dunia yetu baada ya kiama, kuna uwezekano mkubwa wa kuumba ulimwengu mwingine mpya, wakawa na mwanzo wao na kiama chao kadri Mungu atavyopenda.
 
Vitu visivyoonekana hata kwa darubini kali huenda havina mwanzo au mwisho. Vinavyoonekana vyoooote vina mwanzo na mwisho. Mungu hata utumike darubini iliyotengenezwa na Aliens haonekani, basi ndiye pekee ambae hana mwanzo au mwisho. Au kwa kifupi mwanzo wa vyote, hauna mwanzo au mwisho.
 
Hata mimi huwaza hivyo.

Kwa uzoefu wa Mungu, uumbaji wa ulimwengu na dunia hii, huenda ukawa hata wa mara elfu kadhaa, huu hauwezi kuwa ni wa kwanza kwake.

Na viama alishavifanya sana tu, sisi dunia yetu baada ya kiama, kuna uwezekano mkubwa wa kuumba ulimwengu mwingine mpya, wakawa na mwanzo wao na kiama chao kadri Mungu atavyopenda.
Mnakubaliana kitoto Toto
 
Salaam nyingi sana kwenu wadau wa Jukwaa hili linalotumia ubongo mwingi sana huku nguvu za Mwili zikiwa kisoda.

Katika mambo ambayo nimewahi kuyafikiria na sikuwahi kupata majibu au kukaribiana na majibu ni kuhusu vitu vinavyofikirisha akili sana. Kwa upeo wangu vitu hivi nadhani havina mwanzo wala mwisho.

1. Ulimwengu, hapa namaanisha sayari zote, magimba yote, ombwe, nyota, jua na vyote ambavyo vipo katika pande zote za ulimwengu. Kwa upande wa Dunia utazunguka lakini utarudi ulipoanzia. Kwa upande wa nje ya Dunia ukiondoka hakuna mwisho ni kwa upande wowote utakaoelekea kwasababu ukisema kuna mwisho kinachothibitisha mwisho ni kitu gani?

2. Suala la Mungu. Mungu tunaambiwa hakuanza wala hana mwisho. Hii maana yake hakuna kilichosababisha uwepo wa Mungu, yeye alijikuta tu yupo.

Tafakuri za mambo haya yote huenda ni ngumu Kutokana na upeo mdogo wenye ukomo yaani ni sawa na kuku amtafakari anayemfuga kwamba alitokea wapi na mwisho wake ni upi, kamwe hatapata majibu.

Kuna stori Moja kwenye maandiko ya kihistoria ndani ya Kanisa Katoliki kuhusu Mtakatifu Agustino, kwamba alipita ufukweni mwa bahari akiwa amejaa mawazo mengi kumtafakari Mungu hasa mwanzo wake na mwisho wake, akakutana na mtoto mmoja anachota maji kwa kifuniko kidogo mithili ya kisoda kutoka baharini na kujaza kwenye kishimo alichochimba pembeni ya bahari, Mtakatifu Agustino akamuuliza, we mtoto unafanya nini? Mtoto akajibu, nataka kuhamisha maji ya baharini yote yaingie kwenye kishimo hiki kidogo, Mtakatifu Agustino akamwambia yule mtoto, we mjinga sana bahari ilivyo kubwa hivyo itahamiaje kwenye kishimo kidogo hicho! Naye mtoto akajibu, na wewe ulivyo na akili ndogo utaweza kumtafakari Mungu alivyo mkubwa na ukapata majibu?

Pamoja na yote naomba tushirikishane pengine mtu amewahi kusoma tafiti mbalimbali kuhusu ukomo au mwisho wa mambo niliyoyazungumzia.
Hiyo hoja namba 2 nimeipenda sana, kwamba alijikuta tu yupo katikati ya giza nene akaona giza lisimletee mazoea akasema na iwe nuru, ikawa nuru 😁😁
 
Back
Top Bottom