Haya yakitimia, Dar itaingia kwenye yale maajabu saba ya ulimwengu.Ukiyafikiria sana matatizo ya Dar unaweza kuhama hata mji. Tuzidi kuvuta subura "planners bado wapo kazini wana plan kuleta fly-overs, mabasi yaendayo kasi, treni za chini ya ardhi, boti toka bagamoyo to dar, watapanua TRL kuservice maeneo ya katikati ya jiji na pembezoni, n.k baada ya muda kero zitakwisha kabisa"
For me- kero zangu kuu Dar ni 1.Foleni barabarani 2. Joto
Msilalame tu na mambo hayo DAR,jaribuni kusafiri na kuchunguza hayo mambo watu wanagombea hata hizo speedtrain kwenye pick hrs. itakua daladala!!!!!!
Sasa mbona umeniqoute mimi wakati hata sijazungumzia daladala mkuu? Hivi unajua majority ya wachangiaji humu ni watu ambao wako nje ya nchi?
Ukiyafikiria sana matatizo ya Dar unaweza kuhama hata mji. Tuzidi kuvuta subura "planners bado wapo kazini wana plan kuleta fly-overs, mabasi yaendayo kasi, treni za chini ya ardhi, boti toka bagamoyo to dar, watapanua TRL kuservice maeneo ya katikati ya jiji na pembezoni, n.k baada ya muda kero zitakwisha kabisa"
Dar wakati wa mvua ni balaa la kutisha. Mitalo ya kupitisha maji machafu hakuna, uchafu umezagaa kila kona, umeme hakuna, maji safi na salama hakuna, joto kali ile mbaya, mbu wanaimba nyimbo zao masikioni, kila nyumba ni grocery na music mkubwa ile mbaya. Ni kwa nguvu na kudra za mungu watu tunaweza kuendesha maisha hapa Dar.
Yaliyopita ndiyo ya kulaumiwa wao, ila haya yaliyopo na yajayo ni yetu wote tusijidanganye kuwanyooshea vidole wengine! Tukuneni vichwa tupate ufumbuzi wa haya matatizo ya jiji letu hili zuri.
mnaolalamika joto. , na kama joto sana basi wekeni AC au nunueni fan.Dar wakati wa mvua ni balaa la kutisha. Mitalo ya kupitisha maji machafu hakuna, uchafu umezagaa kila kona, umeme hakuna, maji safi na salama hakuna, joto kali ile mbaya, mbu wanaimba nyimbo zao masikioni, kila nyumba ni grocery na music mkubwa ile mbaya. Ni kwa nguvu na kudra za mungu watu tunaweza kuendesha maisha hapa Dar.